Rockin' Robin
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rockin' Robin (song))
“Rockin' Robin” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Got to Be There | |||||
B-side | "Love Is Here and Now You're Gone" | ||||
Imetolewa | 17 Februari 1972 | ||||
Muundo | 7" single | ||||
Imerekodiwa | Hitsville West, Los Angeles, California | ||||
Aina | Bubblegum pop/soul | ||||
Urefu | 2:50 | ||||
Studio | Motown | ||||
Mtunzi | Roger Thomas | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Rockin' Robin" ni wimbo wa mwaka wa 1958 ulioimbwa na Bobby Day. Kwa kipindi hicho wimbo ulitamba sana, na kuwa Na. 2 katika chati za Billboard Hot 100. Wimbo ukaja kuimbwa tena na The Hollies kwenye albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1964 na pia ukaja kutumika tena kama single ya pili ya mwaka wa 1972 iliofanywa na Michael Jackson akiwa bwana mdogo. Kwa miaka hiyo, Jackson alipata nafasi ya pili kwa U.S. pop single.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rockin' Robin kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |