Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko
This article's factual accuracy may be compromised due to out-of-date information. Please help improve the article by updating it. There may be additional information on the talk page. |
Hii ni orodha ya ziara ya kichungaji ya Papa Fransisko.
Ziara za Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]2013
[hariri | hariri chanzo]Brazil (22 hadi 29 Julai 2013)
Papa Fransisko alizuru Rio de Janeiro, Brazil, Siku ya Vijana Duniani 2013. Ni ziara pekee nje ya nchi iliyokuwa katika ratiba yake kwa mwaka wa 2013.Francis alikaribishwa rasmi Brazil katika sherehe iliyofanyika katika kasri la Guanabara na kukutana na Rais Dilma Roussef.[1]. Papa aliweza kuwakutanisha wahujaji wapatao tarkibani milioni 3.5 kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu Copacabana Beach.[2]
2015
[hariri | hariri chanzo]Ziara ya papa Fransisko nchini Ufilipino ya Januari 2015 ilionekana kuwa kubwa zaidi katika historia ya matukio ya papa,inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 6 – 7 waliohudhuria ibada ya Misa ya kuhitimisha ziara hiyo, katika mji wa Manila. Idadi hiyo inasemekana kupita ile ya watu waliohudhuria katika kongamano la vijana duniani la mwaka 1995 lililofanyika katika eneo hilo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pilgrims meet Pope Francis in Brazil", RTÉ. Retrieved on 13 June 2014.
- ↑ "Fr. Lombardi: Brazil is the only scheduled foreign trip for Pope Francis in 2013". Vatican Radio. 25 Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |