Mto Luyangala
Mandhari
Mto Luyangala ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya na mkoa wa Iringa (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia ziwa Nyasa na mto Zambezi.
Mdomo wake uko Lumbila iliyoitwa Alt-Langenburg wakati wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani na kwa muda ilikuwa makao makuu ya Mkoa wa Langenburg.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Luyangala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |