Mto Itumba
Mandhari
Mto Itumba ni jina la miwili kati ya mito ya Tanzania Kusini Magharibi (mkoa wa Songwe na mkoa wa Mbeya) ambayo maji ya mmojawapo yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi, ya mwingine katika beseni la ndani.
Jina linatokana na tumbaku kwa Kilambya kwa sababu mtawala mkuu wao alikuwa analima tumbaku pembezoni mwa mto huo, nayo ilikuwa inastawi sana.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Itumba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |