Nenda kwa yaliyomo

Kilambya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilambya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania, Malawi na Zambia inayozungumzwa na Walambya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilambya nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu 45,000; nchini Tanzania ni wasemaji 40,000 (1987); na nchini Zambia kuna wasemaji 2000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilambya iko katika kundi la M20.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Busse, Joseph. 1939/40. Lambya-Texte. Zeitschrift für Eingeborenen-Sprachen, 30 (4), uk.250-272.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilambya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.