Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Zanzan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Zanzan
Mahali paMkoa wa Zanzan
Mahali paMkoa wa Zanzan
Mahali pa Mkoa wa Zanzan katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 8°30′N 3°15′W / 8.500°N 3.250°W / 8.500; -3.250
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 7
Mji mkuu Bondoukou
Eneo
 - Jumla 38.131 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 700.999
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Zanzan (kwa Kifaransa: Région du Zanzan) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 700.999. [1]

Kuna tarafa saba ambazo ni

Makao makuu yako Bondoukou.

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na