Mkoa wa Vallée du Bandama
Mandhari
Mkoa wa Vallée du Bandama |
|
Mahali pa Mkoa wa Vallée du Bandama katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 8°15′N 4°50′W / 8.250°N 4.833°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 7 |
Mji mkuu | Bouaké |
Eneo | |
- Jumla | 28.200 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1.080.432 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Vallée du Bandama (kwa Kifaransa: Région de la Vallée du Bandama) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.080.432. [1]
Kuna tarafa saba ambazo ni
Makao makuu yako Bouaké.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Vallée du Bandama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |