Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Vallée du Bandama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Vallée du Bandama
Mahali paMkoa wa Vallée du Bandama
Mahali paMkoa wa Vallée du Bandama
Mahali pa Mkoa wa Vallée du Bandama katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 8°15′N 4°50′W / 8.250°N 4.833°W / 8.250; -4.833
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 7
Mji mkuu Bouaké
Eneo
 - Jumla 28.200 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 1.080.432
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Vallée du Bandama (kwa Kifaransa: Région de la Vallée du Bandama) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.080.432. [1]

Kuna tarafa saba ambazo ni

Makao makuu yako Bouaké.

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na