Mkoa wa San-Pédro
Mandhari
Mkoa wa San-Pédro | |
Mahali pa Mkoa wa San-Pédro (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Bas-Sassandra |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Serikali[1] | |
- Prefect | Coulibaly Ousman |
- Rais wa Baraza | Donatien Beugré |
Eneo[2] | |
- Jumla | 12,790 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 826,666 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa San-Pédro (kwa Kifaransa: Région de San-Pédro) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Kusini Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni San-Pédro. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 826,666.
San-Pédro kwa sasa imegawanywa katika wilaya mbili:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "San-Pédro" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa San-Pédro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |