Mkoa wa Moyen-Comoé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Moyen-Comoé
Mahali paMkoa wa Moyen-Comoé
Mahali paMkoa wa Moyen-Comoé
Mahali pa Mkoa wa Moyen-Comoé katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 6°30′N 3°25′W / 6.500°N 3.417°W / 6.500; -3.417
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 3
Mji mkuu Abengourou
Eneo
 - Jumla 6.900 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 394.741
GMT (UTC+0)


Mkoa wa Moyen-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Moyen-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika Mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 394.741. [1]

Kuna tarafa tatu ambazo ni

Makao makuu yako Abengourou.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na