Mkoa wa Lôh-Djiboua
Mandhari
Mkoa wa Lôh-Djiboua | |
Mahali pa Mkoa wa Lôh-Djiboua (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Gôh-Djiboua |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Gôh-Djiboua |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kpan Droh Joseph |
- Rais wa Baraza | Komenan Tchekoura Rolland Zakpa |
Eneo[2] | |
- Jumla | 10,650 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 729,169 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Lôh-Djiboua (kwa Kifaransa: Région du Lôh-Djiboua) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Magharibi ya kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Divo. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 729,169.
Lôh-Djiboua kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Lôh-Djiboua" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lôh-Djiboua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |