Mkoa wa Fromager

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Fromager
Mahali paMkoa wa Fromager
Mahali paMkoa wa Fromager
Mahali pa Mkoa wa Fromager katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 6°15′N 5°55′W / 6.250°N 5.917°W / 6.250; -5.917
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 2
Mji mkuu Gagnoa
Eneo
 - Jumla 6.912 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 542.992
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Fromager (kwa Kifaransa: Région du Fromager) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 542.992. [1]

Kuna tarafa mbili ambazo ni

Makao makuu yako Gagnoa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na