Mkoa wa Bas-Sassandra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Bas-Sassandra
Mahali paMkoa wa Bas-Sassandra
Mahali paMkoa wa Bas-Sassandra
Mahali pa Mkoa wa Bas-Sassandra katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 5°30′N 6°40′W / 5.500°N 6.667°W / 5.500; -6.667
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 5
Mji mkuu San-Pédro
Eneo
 - Jumla 26.969 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 1.395.233
GMT (UTC+0)
[1]


Mkoa wa Bas-Sassandra (kwa Kifaransa: Région du Bas-Sassandra) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini-magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1.395.233. [2].

Kuna tarafa tano ambazo ni

Makao makuu yako San-Pédro.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ivory Coast Cities Longitude & Latitude". sphereinfo.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2010. 
  2. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na