Mkoa wa Agnéby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali paMkoa wa Agnéby
Mahali pa Mkoa wa Agnéby katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 05°56′N 04°13′W / 5.933°N 4.217°W / 5.933; -4.217
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 4
Mji mkuu Agboville
Eneo
 - Jumla 9,093 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 525,211
GMT (UTC+0)
[1]

Mkoa wa Agnéby (kwa Kifaransa: Région de l'Agnéby) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kusini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 525.211. [2] Kati ya makabila ya mkoa ni Waattie na Waabe.

Kuna tarafa nne ambazo ni

Makao makuu yako Agboville.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ivory Coast Cities Longitude & Latitude. sphereinfo.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-13. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2010.
  2. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na