Lango:Ulaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia

hariri  fuatilia  

Lango la Ulaya

Ulaya ni bara: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa Umoja wa Mataifa .
hariri  fuatilia  

Nchi za Ulaya

hariri  fuatilia  

Jamii

hariri  fuatilia  

Makala iliyochaguliwa

Hohenzollernbrücke Köln

Köln (pia: Kolon (kutokana na Kiing. Cologne; Kijerumani cha kienyeji: Kölle) ni mji wa Kijerumani kando la mto Rhine mwenye wakazi 970,000. Maana ya kiasili ya jina ni "koloni".

Köln ni mji mkubwa wa nne wa Ujerumani na mji mkubwa wa jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen). Mji umejulikana nchini kwa aina yake ya pekee ya bia. Köln ni pia kitovu cha Waafrika katika Ujerumani. Pamoja na wanafunzi wengi kutoka Afrika kuna pia taasisi kama huduma ya Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) zinazoajiri Waafrika wengi. Kuna hata vilabu ambako bia aina ya Tusker kutoka Kenya inauzwa.

hariri  fuatilia  

Picha Iliyochaguliwa

Rheinfall
Picha inayoonyesha Mto Rhine katika Jimbo la Schaffhausen, Uswisi.

hariri  fuatilia  

Wasifu Uliochaguliwa

Sarufi ya mwaka 814 inayomwonyesha Karolo Mkuu

Karolo Mkuu (Kilatini: Carolus Magnus; Kijer.: Karl der Große; Kifar.: Charlemagne) aliishi kati ya 742 hadi 814 akawa mfalme wa Wafranki akaendele kuwa Kaizari wa Dola takatifu la Roma aliloanzisha. Anakumbukwa kama "baba wa Ulaya" maana milki yake iliunganisha nchi zilizoanzisha Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya (chanzo cha Umoja wa Ulaya) karne nyingi baadaye.


hariri  fuatilia  

Masharika ya Wikimedia