Lango:Teknolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Lango la Teknolojia

Lugha zenyewe:

العربية Deutsch English Français Italiano Português Українська 中文

Makala iliyochaguliwa

Taarifa ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika mwaka wa 2005

Teknolojia ya habari (Kiing.: information technology, IT), kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya habari ya Marekani (ITAA), ni "utafiti, urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta." IT inahusika na matumizi ya kompyuta zitumiazo umeme na programu za kompyuta kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza, na usalama katika kupokea habari.

Je, wajua...?

Vitu unavyoweza kufanya

Picha Iliyochaguliwa

Piramidi ya Giza
Picha inayoonyesha mwanaanga Bruce McCandless II nchini anga la nje (1984).

Jamii


Masharika ya Wikimedia

Kigezo:Milango