Lango:Jamii
Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia
Lango la Jamii
Makala iliyochaguliwa
Usawa wa kijinsia ni lengo la kuleta usawa katika ya jinsia zote, kutokana na imani(belief) kuwa kuna udhalimu mbalimbali wa jinsia moja.
Mashirika ya Dunia yamefafanua usawa wa kijinsia ikihusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. UNICEF inafafanua usawa wa kijinsia kama "kusawazisha uwanja wa kucheza kwa wasichana na wanawake kwa kuhakikisha kwamba watoto wote wana fursa sawa ya kuendeleza vipaji vyao.
Je, wajua...?
Picha Iliyochaguliwa
Jamii
Jamii ni mkusanyiko wa makala kuhusu mada fulani kwenye wikipedia. Kila makala inapaswa kuunganishwa na jamii fulani. Mfumo wa jamii ni kama ufuatao. Hizi hapo chini ni jamii kuu. Ndani ya jamii kuu kuna jamii ndogo.
Masharika ya Wikimedia
![]() |
Society on Wikiquote Quotes |
![]() |
Society on Commons Images |
![]() |
Society on Wikisource Texts |
![]() |
Society on Wikibooks Manuals & Texts |