Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya
Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- Orientale Lumen - Hati ya Papa Yohane Paulo II kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |