Jimbo Katoliki la Mahenge
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo katoliki la Mahenge)
Jimbo katoliki la Mahenge (kwa Kilatini Dioecesis Mahengensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Roma.
Makao makuu yake yako Mahenge katika mkoa wa Morogoro.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Dar-es-Salaam.
Askofu wake ni Agapiti Ndorobo.
Historia
[hariri | hariri chanzo]- 21 Aprili 1964: Kuanzishwa kama Dayosisi ya Mahenge kutokana na jimbo kuu la Dar-es-Salaam
- 2012: Maeneo ya Jimbo Katoliki la Ifakara yalitengwa na jimbo la Mahenge
Maaskofu
[hariri | hariri chanzo]- Agapiti Ndorobo (tangu 1995.03.03)
- Patrick Iteka (1973.06.14 – 1993.08.22)
- Nikasius Kipengele (1970.06.25 – 1971.12.07)
- Elias Mchonde (1964.04.21 – 1969.06.13)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 39,498, ambapo kati ya wakazi 531,237 (2004) Wakatoliki ni 465,696 (97.7%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mahenge kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |