Jimbo Katoliki la Shinyanga
Mandhari
Jimbo katoliki la Shinyanga (kwa Kilatini "Dioecesis Shinyangaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Liberatus Sangu.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa Shinyanga
- Liberatus Sangu (tangu 2015)
- Aloysius Balina (1997 - 2012)
- Castor Sekwa (1975 – 1996)
- Edward Aloysius McGurkin MM (1956 – 1975)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 30,000, ambapo kati ya wakazi 2.280.000 (2010) Wakatoliki ni 696,000 (30.5%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Shinyanga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |