Jimbo Katoliki la Masaka
Mandhari
Jimbo Katoliki la Masaka (kwa Kilatini "Dioecesis Masakaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kampala.
Askofu wake ni Serverus Jjumba.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 21,199, ambapo kati ya wakazi 1,901,000 (2013) Wakatoliki ni 1,011,178 (53.2%).