Jimbo Katoliki la Lira
Mandhari
Jimbo Katoliki la Lira (kwa Kilatini "Dioecesis Lirensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Gulu.
Askofu wake ni Santus Lino Wanok.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 12,030, ambapo kati ya wakazi 2,382,000 (2013) Wakatoliki ni 1,336,000 (56.1%).