Jimbo Katoliki la Kasana-Luweero
Mandhari
Jimbo Katoliki la Kasana-Luweero (kwa Kilatini "Dioecesis Kasana-Luveerina") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kampala.
Askofu wake ni Paul Ssenogerere.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 8,539, ambapo kati ya wakazi 754,112 (2013) Wakatoliki ni 232,502 (30.8%).