Jimbo Katoliki la Byumba
Mandhari
Jimbo katoliki la Byumba (kwa Kilatini "Dioecesis Byumbana") ni mojawapo kati ya majimbo 9 ya Kanisa Katoliki nchini Rwanda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kigali.
Askofu wake ni Servilien Nzakamwita.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 5,100, ambapo kati ya wakazi 1,383,910 (2012) Wakatoliki ni 667,181 (48.2%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Byumba kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |