4 Februari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Februari 4)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Februari ni siku ya thelathini na tano ya mwaka. Ni katikati ya majirabaridi kaskazini kwa ikweta na ya majirajoto kusini kwake. Mpaka mwaka uishe zinabaki siku 330 (331 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1887 - Iyasu V, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1897 - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 1904 - MacKinlay Kantor, mwandishi kutoka Marekani
- 1906 - Dietrich Bonhoeffer, mwanateolojia nchini Ujerumani
- 1913 - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Marekani
- 1923 - Conrad Bain, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1947 - Dan Quayle, Kaimu Rais wa Marekani
- 1970 - Simon Pegg, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1971 - Eric Garcetti
- 1975 - Natalie Imbruglia, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
- 1978 - Danna Garcia, mwigizaji filamu kutoka Kolombia
- 1989 - Donald Ndombo Ngoma, mchezaji mpira nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 211 - Septimius Severus, Kaisari wa Dola la Roma (tangu 193)
- 708 - Papa Sisinnio
- 856 - Mtakatifu Rabanus Maurus, O.S.B., askofu nchini Ujerumani
- 1612 - Yosefu wa Leonesa, O.F.M.Cap., padre na mmisionari kutoka Italia
- 1928 - Hendrik Antoon Lorentz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 1963 - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Roma, Papia, Theodori na Klaudiani, Fileas na Filoromus, Isidori wa Pelusio, Aventino wa Chartres, Aventino wa Troyes, Rabanus Maurus, Nikola wa Studion, Gilberti wa Sempringham, Yoana wa Valois, Yosefu wa Leonesa, Yohane wa Brito n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 4 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |