Danna Garcia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Danna Garcia
Danna Garcia.
Danna Garcia.
Jina la kuzaliwa Danna Garcia
Alizaliwa 4 Februari 1978
Kolombia
Kazi yake Mwigizaji, Mwanamuziki
Tovuti Rasmi Danna Garcia.com

Danna Garcia (amezaliwa Bogotá, Kolombia, 4 Februari 1978) ni mwigizaji wa tamthilia, filamu na pia mwimbaji.

Ni binti wa mwimbaji muziki wa Kikolombia Claudia Osuna. Danna alianza shughuli za muziki na uigizaji toka akiwa na umri wa miaka minne.

Mnamo mwaka 1994, akiwa na dada yake Claudia, waliunda bendi ya muziki, iitwayo "Café Moreno". Katika kipindi cha mwaka mmoja, waliweza kurekodi platini tatu mfululizo, na wakafanikiwa kutoa albamu iliyokwenda kwa jina la Momposino.

Mwaka huo huo Danna akaoneka kwenye ya tamthilia moja ya nchini Colombia iliyokuwa inaitwa "Café con aroma de mujer".

Mnamo mwaka 1996, akawa mwigizaji bora wa kike nchini Colombia na pia nyota katika telenovela za kimexiko.

Danna Garcia pia alicheza tamthilia nyingine nyingi tu, ikiwemo ile ya Pasión de gavilanes (2003) na La Revancha (2000) hizi zilimpa sifa sana mwanadada huyu.

Filamu na Tamthilia Alizocheza[hariri | hariri chanzo]

 • La Traición (2007)
 • Corazón partido (2005) .... Aura Echarri
 • Te Voy a Enseñar a Querer (2004-2005) .... Diana Rivera
 • Pasión de gavilanes (2003) .... Norma Elizondo Acevedo de Escandón
 • "Revancha, La" (2000) .... Mariana Ruiz
 • "Háblame de amor" (1999) .... Jimena
 • "Perro amor" (1998) .... Sofía Santana
 • "Al norte del corazón" (1996) .... Eloísa (1996)
 • Día es hoy, El (1996)
 • "Victoria" (1995) .... Victoria
 • Café con aroma de mujer (1994) .... Marcela Vallejo Cortez
 • "Imaginate" (1987)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danna Garcia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.