16 Februari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Februari 16)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Februari ni siku ya arubaini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 318 (319 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1812 - Henry Wilson, Kaimu Rais wa Marekani (1873-1875)
- 1848 - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 1886 - Van Wyck Brooks, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1900 - Albert Hackett, mwandishi kutoka Marekani
- 1915 - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Richard Ford, mwandishi kutoka Marekani
- 1958 - Ice-T, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1965 - Adama Barrow, rais wa Gambia (tangu 2017)
- 1974 - Johnny Tri Nguyen, mwigizaji wa filamu wa Kimarekani kutoka Vietnam Kusini
- 1978 - John Tartaglia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1982 - Angela Damas, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2002
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1886 - Albert Küchler, mchoraji kutoka Denmark
- 1907 - Giosue Carducci, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1906
- 1917 - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa
- 1926 - Mwenye heri Yosefu Allamano, padri mwanzilishi nchini Italia
- 1932 - Ferdinand Buisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927
- 1970 - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 2016 - Boutros Boutros-Ghali, mwanasiasa wa Misri, na Katibu Mkuu wa UM (1992-1996), wa kwanza kutoka bara la Afrika
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Juliana wa Nikomedia, Elia, Panfilo na wenzao, Maruta, Yosefu Allamano n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 7 Aprili 2008 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History Archived 18 Machi 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |