Albert Hackett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frances Goodrich na Albert Hackett

Albert Maurice Hackett (16 Februari 190016 Machi 1995) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1956, pamoja na mke wake Frances Goodrich, Hackett alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao The Diary of Anne Frank.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Hackett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.