25 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 25)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Aprili ni siku ya 115 ya mwaka (ya 116 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 250.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1844 - Uhuru wa nchi ya Chile unatambuliwa rasmi na Hispania
- 1986 - Mswati III wa Uswazi anapewa utawala wa kifalme
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1874 - Guglielmo Marconi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909
- 1900 - Wolfgang Pauli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945
- 1917 - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz
- 1918 - Muhammed Said Abdulla, mwandishi wa Tanzania
- 1925 - Wendo Kolosoy, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1939 - Ted Kooser, mshairi kutoka Marekani
- 1972 - Pascal Joy Migisha, mwinjilisti wa Kipentekoste kutoka Burundi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1185 - Antoku, mfalme mkuu wa Japani (1180-1185)
- 1342 - Papa Benedikto XII
- 1667 - Mtakatifu Petro wa Betancur, mmisionari kutoka Hispania katika Amerika ya Kati
- 2012 - Paul L. Smith, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Marko Mwinjili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Aniano wa Aleksandria, Pasikrate na Valensyoni, Febadi, Stefano II wa Antiokia, Klarensi, Ermini, Franka, Petro wa Betancur, Yohane Mbatizaji Piamarta n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |