Paul L. Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul L. Smith

Smith, 1973
Amezaliwa 24 Juni 1936
Ra'anana, Israel
Ndoa Eve Smith (?-2012)

Paul Lawrence Smith (24 Juni 193625 Aprili 2012) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Alionekana kwenye filamu nyingi kama vile:

 • The Gospel Road (1973)
 • Moses the Lawgiver (1974)
 • Midnight Express (1978)
 • The In-Laws (1979)
 • Disaster on the Coastliner (1979)
 • Popeye (1980)
 • Pieces (1983)
 • Return of the Tiger (1984)
 • Dune (1984)
 • Red Sonja (1985)
 • Crimewave (1985)
 • Haunted Honeymoon (1986)
 • Gor (1988)
 • Sonny Boy (1989)
 • Caged Fury (1989)
 • Ten Little Indians (1989)
 • Maverick (1994)
 • Paul Smith: The Reddest Herring (2008)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul L. Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.