Wendo Kolosoy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wendo Kolosoy
The cover of his last record, Banaya Papa Wendo
The cover of his last record, Banaya Papa Wendo
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Antoine Kalosoyi (var. Nkolosoy)[1]
Pia anajulikana kama Papa Wendo, Wendo, Windsor, Wendo Sor, Sor, Wendo alanga nzembo, Wendo mokonzi ya nzembo[2]
Amezaliwa (1925-04-25)Aprili 25, 1925
Mushie, Mai-Ndombe Province, Kongo ya Kibelgiji
Asili yake Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Amekufa 28 Julai 2008 (umri 83)
Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Aina ya muziki Rumba
Soukous
World Music
Kazi yake Mwimbaji, Mpiga gitaa, Kiongozi wa Bendi
Ala Sauti, Gitaa
Miaka ya kazi 1943-1964/1993-2004


Antoine Wendo Kolosoy (25 Aprili 1925 - 28 Julai 2008) — alifahamika zaidi kwa jina la Papa Wendo — alikuwa mwanamuziki kutoka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Huhesabiwa kama "Baba" wa Muziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - maarufu kama rumba, mtindo wa muziki unaopatana kabisa na rumba, beguine, waltz, tango na cha-cha.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

  • Nani akolela Wendo? (1993)
  • Marie Louise (1997) -- Indigo LBLC 2561 (2001)
  • Amba (1999) -- Marimbi 46801.2 (2002) -- World Village 468012 (2003)
  • On The Rumba River (Soundtrack) Marabi/Harmonia Mundi 46822.2 (2007)
  • Banaya Papa Wendo IglooMondo (2007)

Kompilesheni[hariri | hariri chanzo]

  • Ngoma: The Early Years, 1948-1960 Popular African Music (1996). Includes the original recording of "Marie-Louise", 1948 (Antoine Kolosoy "Wendo" / Henri Bowane)
  • The Very Best of Congolese Rumba - The Kinshasa-Abjijan Sessions (2007) Marabi Productions
  • The Rough Guide to Congo Gold -- World Music Network 1200 (2008)
  • Beginners Guide To Africa -- Nascente BX13 (2006)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ANALYSE MUSICALE "Marie Louisa" Antoine WENDO NKOLOSOY. Interview and Review: Norbert MBU MPUTU, Congo Vision (2005)
  2. "Wendo Kolosoy, 62 ans de carrière musicale" (4 Juni 2005)

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

  • Rumba on the River: A History of the Popular Music of the Two Congos (1999). Gary Stewart - ISBN 1859843689