Nenda kwa yaliyomo

Soukous

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Soukous (pia inajulikana kama Lingala au rumba la Kikongo) ni jina la kutaja aina maarufu ya muziki wa dansi ambao umetoka katika Kongo katika miaka ya 1940, hasa ulitokana na athira ya Cuban son. Mtindo huu ulianza kupata umaarufu zaidi katika miaka ya 1960 na 70. Soukous hufahamika kama Lingala nchini Tanzania, Kenya, na Uganda hasa kwa sababu mashairi yake huimbwa kwa lugha ya Kilingala. Huko nchini Zambia na Zimbabwe, ambapo muziki wa Kikongo napo upo maarufu, bado huitwa kwa jina la rumba. Leo hii, unashikisha mitindo mingine kama vile kwasa kwasa na muziki wa kasi juu wa zouk.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

  • Gary Stewart (2000). Rumba on the River: A History of the Popular Music of the Two Congos. Verso. ISBN 1-85984-368-9.
  • Wheeler, Jesse Samba (Machi 2005). "Rumba Lingala as Colonial Resistance". Image & Narrative (10). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-15. Iliwekwa mnamo 2015-12-13. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Rumba