7 Agosti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Agosti 7)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Agosti ni siku ya 219 ya mwaka (ya 220 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 146.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1960 - Nchi ya Côte d'Ivoire inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1533 - Valentin Weigel, mwanateolojia Mjerumani
- 1869 - Mtakatifu Yosefu Maria Gambaro, O.F.M., padre na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 1904 - Ralph Bunche, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1950
- 1947 - Sofia Rotaru, mwimbaji wa Urusi
- 1966 - Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia
- 1972 - Karen Disher, msanii wa kuchora kwa filamu kutoka Marekani
- 1984 - Yun Hyon-seok, mwandishi kutoka Korea Kusini
- 1986 - Nancy Sumari, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2005
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 461 - Majorian, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1547 - Mtakatifu Gaetano wa Thiene, padri mwanzilishi nchini Italia
- 1901 - Oreste Baratieri, jenerali wa Italia aliyeshindwa na Waethiopia katika mapigano ya Adowa (1896)
- 1941 - Rabindranath Tagore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1913
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Sisto II na wenzake, Gaetano wa Thiene, Afra, Donati wa Arezzo, Donasiani wa Chalons, Vitrisi wa Rouen, Donati wa Besancon, Albati wa Trapani, Mikaeli de la Mora n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |