Lesotho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lesoto)
Rukia: urambazaji, tafuta
Muso oa Lesotho
Miliki ya Lesotho
Bendera ya Lesotho Nembo ya Lesotho
Bendera Nembo
Wito la taifa: Khotso, Pula, Nala
(Kisotho: Amani, Nyesha, Baraka)
Wimbo wa taifa: Lesotho Fatse La Bontata Rona
Lokeshen ya Lesotho
Mji mkuu Maseru
29°18′ S 27°28′ E
Mji mkubwa nchini Maseru
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
Letsie Watatu
Pakalitha Mosisili
Independence
kutoka Wiingereza
4 Oktoba 1966
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
30,355 km² (137th)
Negligible
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2004 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,867,035 1 (146)
1,861,959
61.5/km² (109)
Fedha Maloti (LSL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+2)
(UTC)
Intaneti TLD .ls
Kodi ya simu +266

-

1.) Jua: Kwamba ukadiri wa umma hasa umechukua jawabu ya watu wanaoaga dunia kwa sababu ya Ukimwi; hii yenyewe imeleta maisha pungufu, kuaga dunia kwa watoto wanaozaliwa na jumla ukuzi wa umma kupungua na mabadiliko ya usabaa wa umma kwa rika, kadiri ya wanawake na wanaumme kama kungiavyo tarajiwa.



Ufalme wa Lesotho, au Lesoto, ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Ina wakazi milioni 1.8. Mji mkuu ni Maseru. Lesotho haina pwani la bahari yoyote. Eneo lake limo ndani ya eneo la Afrika Kusini pande zote. Wakati wa ukoloni ilijulikana kama Basutoland. Sasa ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Jina Lesotho lamaanisha ni eneo ya watu ambao waongea lugha ya Kisotho.

Yaliyomo

Historia [hariri]

Tako la Kifungu: Historia ya Lesotho

Siasa [hariri]

Tako la kifungu: Siasa za Lesotho

.

Wilaya [hariri]

Tako la kifungu: Wilaya ya Lesotho

Kwa usimamizi wa serikali, Lesotho imegawa kwa Wilaya 10, kilamoja ikiongozwa na Karani wa wilaya. Kila wilaya ina mji unaoitwa mji wa kambi (camptown).

Jiografia [hariri]

Ukweli wa Kijiografia ambao wajulikana zaidi kuhusu Lesotho, ni kwamba ni nchi iliozungukwa na Afrika ya kusini, na ni nchi pekee uhuru duniani ambayo iko juu ukwea mita zaidi ya 1,000 (3,300 ft). Eneo chini zaid ni mita 1,400 (4,593 ft), na zaid ya asilimia 80% ya nchi iko kwa ukwea mita 1,800 (5,900 ft).

Uchumi [hariri]

Tako la Kifungu: Uchumi wa Lesotho

Malealea, mandhari ya Lesotho
River Makhaleng mabonde kwa milima ya Lesotho
nyumba nchini Lesotho
Malealea; mbali magharibi wa Lesotho

Ukimwi na Virusi vya Ukimwi [hariri]

Wafanya kazi [hariri]

Ulinzi [hariri]

Mambo ya kigeni [hariri]

A gorge in Lesotho
Snow on a Lesotho road

Watu na Ukoo [hariri]

Tako la kifungu: Watu wa Lesotho

Utamaduni [hariri]

Shauri kiwazowazo [hariri]

Viungo via Nnje [hariri]

[[Portal:{{{1}}}|{{{1}}} portal]]

Kigezo:Viungo vinavyo husika

Serikali [hariri]

habari [hariri]

Uchambuzi [hariri]

Utalii [hariri]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: