Mwanzo
|
|
|
|
|
Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili
- Idadi ya makala: 87,057
- Idadi ya kurasa zote: 183,383 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
- Idadi ya hariri: 1,363,255
- Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 70,924
- Idadi ya wakabidhi: 14
- Idadi ya watumiaji hai: 403 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
- Katika mwezi wa Agosti 2020 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 1.73 hivi, ambayo ni sawa na mara 55,800 kwa siku au mara 2,326 kila saa. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
- Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
- (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa)
- na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani.
- (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)
Michango ya wanawiki: angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia (andika jina la mtumiaji kwenye sanduku)
Jumuia za Wikimedia
Commons Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti |
Meta-Wiki Uratibu wa Miradi yote ya Wikimedia |
Wikamusi Kamusi na Tesauri | |||
Wikitabu Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia |
Wikidondoo Mkusanyiko wa Nukuu Huria |
Wikichanzo (Wikisource) Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili | |||
Wikispishi Kamusi ya Spishi |
Wikichuo Jumuia ya elimu |
Wikihabari Habari Huru na Bure |