Kigezo:Je wajua/Hifadhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Agosti 10, 2010[hariri chanzo]

Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:

Ngorongoro

  • ... kwamba Ngorongoro imepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba McDonald Mariga ni mchezaji wa mpira kutoka Kenya ambaye anaichezea kilabu cha Parma.
  • ... kwamba Septemba 1752 inakosa siku kumi na moja?, Katika Dola ya Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 ilirukwa wakati Dola ilipopitisha kalenda ya Gregory.