Majadiliano:Mwanzo

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hifadhi ya majadiliano ya awaliWorld Youth Forum

This is free platform that unite all youth all over the world to champion progress,prosperity and sustainability in our communities. World Youth Forum always held in Sharm El Sheikh Egypt under the auspices of President Abdel fattah El Sisi Mozilah jr (majadiliano) 15:33, 5 Februari 2020 (UTC)Reply[jibu]

Kuongeza Milango mingine

Napendekeza ongezeko la milango mingine katika ukurasa huu wa mwanzo kama lango la

Ahsante nadhani nmeona katika lango la jamii. Czeus25 Masele (majadiliano) 15:32, 24 Februari 2020 (UTC)Reply[jibu]

Hadi sasa, je tuna Mlango wa siasa? Kipala (majadiliano) 13:10, 26 Februari 2020 (UTC)Reply[jibu]

Tunahitaji pia mlango wa dini, ila mimi sina uwezo huo. Wataalamu, kazi kwenu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:24, 26 Februari 2020 (UTC)Reply[jibu]

Kuhusu kuboresha makala za usoni

Wazee wenzangu, kutokana na ratiba na mtindo tuliochaguwa wa kutunza makala za usoni, bora tufundishe vijana wa Wikimedia TZ namna ya kuboresha makala mara kwa mara ili kuondoa makala zinazoonekana kila siku kuwa ni zilezile. Kama ikiwezekana, tubadili zote zilizokaa miaka mingi. Wikipedia hii ina makala nyingi sana. Kama mtaona muundo mgumu, basi nijaribu kurudisha muundo wa zamani.

Kila kitu kina faida na hasara zake. Tukibaki na muundo huu, basi tuweke kabisa makala za mwezi mzima—ambazo zitakuwa zinaonekana kila leo. Ikifika mwezi, tunazidilisha zote. Tukubaliane tu, kwamba makala 30 zitaonekana—baada ya hapo, tunabadilisha. Kwa kutumia nguvu za vijana wapya, tutaweza. Sisi wakongwe mwendo wetu si imara tena. Ila ikitokea mmoja wa wakongwe akitahitaji kuwa katika sehemu ya uteuzi wa makala, si vibaya.

Naomba tutafakari kwa kina. Mkikubaliana nami, basi nitaanza leo hii kazi jioni.

Wenu,--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 06:35, 10 Juni 2020 (UTC) Reply[jibu]

Kwangu naona ni vizuri kufanya hivyo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:40, 10 Juni 2020 (UTC)Reply[jibu]
Naona ni vyema sana, hata niliwahi kujaribu kubadilisha Picha nzuri ya wiki. Ahsante. Czeus25 Masele (majadiliano) 12:41, 23 Septemba 2020 (UTC)Reply[jibu]
Karibuni kubadilisha! angalia Majadiliano ya Wikipedia:Makala ya wiki, hapo nimeweka maelezo jinsi ya kuweka makala mapya. Kipala (majadiliano) 12:54, 23 Septemba 2020 (UTC)Reply[jibu]

wikamusi ya methali

kwa sababu kiswahili huwa kubwa kila siku wakati limefika la kuanzisha kamusi letu la methali na pia vitendawili kwa ajili ya wenzetu vijanaAlvin kipchumba (majadiliano) 13:01, 22 Septemba 2020 (UTC)Reply[jibu]

Have you voted?

Hi all,

There are 16 eligible voters in Swahili Wikipedia for the ongoing Wikimedia Board of Trustees elections. But only one 4 people have voted so far.

The Wikimedia Foundation Board of Trustees election is still ongoing. Votes will be accepted until 23:59 31 August 2021 (UTC).

2021 Wikimedia Board election video:Please watch and share this widely so we can motivate more participation from all eligible voters!

Please visit here to cast your vote. You can also read more about the candidates here

Best, Zuz (WMF) (majadiliano) 10:36, 28 Agosti 2021 (UTC)Reply[jibu]

Kipindi cha Upigaji Kura wa Jumuiya cha Uchaguzi wa Bodi ya Wadhamini wa 2022 sasa kimefunguliwa

Habarini nyote,

Kipindi cha Upigaji Kura wa Jumuiya kwa Uchaguzi wa 2022 wa Bodi ya Wadhamini sasa kimefunguliwa

Ikiwa uko tayari kupiga kura, unaweza kwenda kwenye ukurasa wa kupigia kura wa SecurePoll ili kupiga kura sasa. Unaweza kupiga kura kuanzia tarehe 16 Agosti hadi tarehe 30 Agosti 2022 23:59 UTC. Ili kuona kuhusu ustahiki wako wa mpiga kura, tafadhali tembelea ukurasa wa ustahiki wa mpiga kura.

Wenu,

Mkakati wa Harakati na Utawala

Ujumbe huu ulitumwa kwa niaba ya Kikosi Kazi cha Uteuzi wa Bodi na Kamati ya Uchaguzi

Zuz (WMF) (majadiliano) 15:15, 26 Agosti 2022 (UTC)Reply[jibu]

Infobox rewritten, discussion opened

Hello, I have opened a discussion at Majadiliano ya kigezo:Infobox settlement#Infobox Rewritten. Everything that worked before still works, but you can now use Kiswahili. English is no longer required.

If anyone has any questions about Infoboxes they are welcome there. BevoLJ (majadiliano) 21:10, 2 Oktoba 2022 (UTC)Reply[jibu]

Voting on the ratification of the UCoC enforcement guidelines Ongoing

Hi all,

There are 25 eligible voters in Swahili Wikipedia for the ongoing revised Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines ratification vote. But only one person has voted so far. Votes will be accepted until 23:59 on January 31, 2023 (UTC). To understand why the UCoC EG is important to small and medium-sized communities, please watch this video. Please visit here to cast your vote.

Best,

Zuz (WMF) (majadiliano) 10:21, 27 Januari 2023 (UTC)Reply[jibu]