Majadiliano ya Wikipedia:Makala ya wiki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elezo:

Ukitaka kupeleka makala hapa (itaonekana baadaye kwenye ukurasa wa Mwanzo kwa kubadilishana na nyingine)

  1. A) Chagua makala unaotaka kuonyesha kwenye ukurasa wa kwanza
  2. B) tunga hitimisho fupi ya makala hii (si zaidi ya alama 1100) na kuihifadhi kwa jina la Wikipedia:Makala ya wiki/XXXXXXX - badala ya XXXXXXX andika jina la makala
  3. Andika jina la makala uliyotunga hapa badala ya jina la nyingine. Usiongeze idadi kwa jumla!
  4. katika makala hii kopi Kigezo:Makala ya wiki
|jina= (jina la makala) Badala ya mabano andika jina la makala.
|picha= (jina la picha) Badala ya mabano andika jina la faili ya picha.
|nakala ya picha = (matini itakayoonekana chini ya picha) Badala ya mabano andika maelezo ya picha.
|makala = (sehemu ya makala uliyochagua - izizidi alama 1100 - 1150) Badala ya mabano andika sehemu ya makala uliyochagua - izizidi alama 1100. Tofauti na kawaida weka maneno ya kwanza yenye jina la makala kwa mabano mraba mfano [[Wolfgang Amadeus Mozart]] maanake hii inasidia kufungua makala yenyewe.

Kipala (majadiliano) 20:06, 1 Februari 2017 (UTC)[jibu]

Mapendekezo[hariri chanzo]

makala moja/moja kutoka jamii tofauti kama vile watu, afya/maradhi, historia, jiografia, Muziki, filamu, lugha/michezo, Afrika ya Mashariki, sayansi (orodha ya jumla kurasa 8)

Orodha 1[hariri chanzo]

Orodha 2[hariri chanzo]

Pendekezo la kufuta makala za zamani[hariri chanzo]

Wazee wangu, kumekuwa na makala zimekaa miaka sasa. Tufute zote na tuweke mpya. Jeshi la TZ, sijui Mbaraka Mwinshehe na wengine. Tuanze upya. Isitoshe, sasa tuna wakabidhi wengi—itakuwa rahisi kuboresha mara kwa mara.--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 09:17, 24 Septemba 2020 (UTC) [jibu]

Napendekeza Makala ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ifutwe, pia ihaririwe upya labda itarudishwa kwenye orodhaCzeus25 Masele (majadiliano) 11:35, 15 Desemba 2020 (UTC)[jibu]
Tafadhali usipendekeze kitu, chukua hatua. Ukipenda ubadilishe kila wiki seti mpya kabisa. Kipala
(majadiliano) 13:27, 15 Desemba 2020 (UTC)[jibu]
Czeus25, ni kweli asemavyo mzee. Nenda makalani, ipitie na iboreshe kwa kadiri utakavyoona inafaa. Pia, uweke mapendekezo mapya na kuyatekeleza!--Muddyb Mwanaharakati Longa 06:44, 16 Desemba 2020 (UTC)[jibu]