Vumbi la angani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vumbi la angani ni hewa taka zilizoundwa na vipande vya mawe ambavyo hupatikana pamoja na gesi mbalimbali kati ya nyota na nyota ndani ya galaksi lakini pia kati ya sayari na sayari (tabaka la atmosphere mpaka kwenye exophere).

Vumbi hilo halienei kwa usawa bali linaunda mawingu halisi lenye msongamano tofautitofauti.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vumbi la angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.