Gimba la angani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Gimba la angani (ing. astronomical object au celestial body) ni jina kwa ajili ya vitu au violwa vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Haya yote ni magimba asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya angani ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya magimba ya angani ni astronomia.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gimba la angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.