Televisheni ya Taifa ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Televisheni ya Taifa ya Tanzania (ilianzishwa tar. 10 Machi 2000) iko chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kitako chake kikuu kipo Kijitonyama mjini Dar es Salaam. Na inarusha matangazo yake kwa masafa ya VHF.

Zamani ilikuwa ikipatikana kwa Tanzania tu, lakini kwa sasa wamepanusha huduma ya urushaji wa matangazo yao na kuiwezesha kupatikani karibuni Afrika nzima. Na vilevile matangazo yao yanapatikana kwa Satelite. Mkurugenzi mkuu wa kwanza alikuwa Tido Mhando

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Televisheni ya Taifa ya Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.