Mtume Simoni Mkananayo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Simoni Mkananayo)
Mitume wa Yesu |
---|
|
Simoni Mkananayo (alifariki karne ya 1) alikuwa mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu.
Ili kumtofautisha na mtume mwenzake Simoni Petro anaitwa Mkananayo, yaani Mwenye juhudi kwa ukombozi wa Israeli kutoka ukoloni wa Roma.
Jina lake linapatikana katika orodha zote za Mitume, lakini hatuna habari zake zaidi, isipokuwa masimulizi mbalimbali yasiyo na hakika[1].
Inasadikika kuwa kaburi lake liko Komani (Georgia).
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba pamoja na Yuda Tadei[2][3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Thenashara, Mitume Kumi na Wawili – tafsiri ya P. A. Bunju – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda 1984 – ISBN 9976-63-030-1
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- All appearances of "Simon" in the New Testament
- Legenda Aurea: Archived 12 Machi 2010 at the Wayback Machine. Lives of Saints Simon and Jude
- Catholic Encyclopedia: St. Simon the Apostle
- Ὁ Ἅγιος Σίμων ὁ Ἀπόστολος ὁ Ζηλωτής 10 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- Simon the Zealot (novel) by Alfred Brenner
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtume Simoni Mkananayo kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |