7 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 7)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Septemba ni siku ya 250 ya mwaka (ya 251 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 115.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 923 - Suzaku, mfalme mkuu wa Japani (930-946)
- 1819 - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)
- 1917 - John Cornforth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 1940 - Dario Argento, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1962 - Jennifer Egan, mwandishi kutoka Marekani
- 1964 - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 701 - Mtakatifu Papa Sergio I
- 1208 - Mtakatifu Stefano wa Châtillon, askofu nchini Ufaransa
- 1783 - Leonhard Euler, mwanahisabati kutoka Uswisi
- 1907 - Sully Prudhomme, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1901
- 1991 - Edwin McMillan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 1997 - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 2014 - Don Keefer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rejina wa Alise, Sozonti, Festo na Desideri, Evurzi, Grato wa Aosta, Memori na wenzake, Alpino wa Chalons, Klod, Karisima, Madelberta, Hilduadi, Gozelino, Yohane wa Lodi, Stefano wa Châtillon, Marko Krisini na wenzake n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |