12 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 12)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Septemba ni siku ya 255 ya mwaka (ya 256 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 110.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1974 - Kaisari Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa na wanajeshi wa DERG
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1797 - Mtakatifu Emilia wa Vialar, bikira wa Ufaransa
- 1902 - Marya Zaturenska, mshairi kutoka Marekani
- 1930 - Akira Suzuki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010
- 1949 - Jeremy Cronin, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1960 - Musalia Mudavadi, mwanasiasa wa Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1362 - Papa Innocent VI
- 1941 - Hans Spemann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935
- 1977- Robert Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1977 - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini (aliuawa na mapolisi)
- 1981 - Eugenio Montale, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1975
- 2003 - Johnny Cash, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2013 - Otto Sander, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 2015 - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Jina takatifu la Maria na za watakatifu Autonomo, Kronide, Leonsi na Serapioni, Ailbe, Gwido wa Anderlecht, Fransisko Ch'oe Kyong-hwan n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |