Akira Suzuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Suzuki mwaka 2010

Akira Suzuki (amezaliwa 12 Septemba, 1930) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza usanisi kaboni. Mwaka wa 2010, pamoja na Richard Heck na Ei-ichi Negishi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akira Suzuki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.