Frank D. Gilroy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frank Daniel Gilroy (13 Oktoba 192512 Septemba 2015) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1965, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Subject Was Roses.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank D. Gilroy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.