30 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 30)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Oktoba ni siku ya 303 ya mwaka (ya 304 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 62.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1218 - Chukyo, mfalme mkuu wa Japani (1221)
- 1676 - Mtakatifu Teofilo wa Corte, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1735 - John Adams, Rais wa Marekani (1797-1801)
- 1886 - Zoë Akins, mwandishi kutoka Marekani
- 1895 - Gerhard Domagk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939
- 1895 - Dickinson Richards,(shindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 1900 - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 1906 - Archibald Jordan, mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini
- 1928 - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 1937 - Seraphino Antao, mwanariadha kutoka Kenya
- 1939 - Leland Hartwell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 1960 - Diego Maradona, mchezaji mpira kutoka Argentina
- 1981 - Muna Lee, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1654 - Go-Komyo, mfalme mkuu wa Japani (1643-1654)
- 1739 - Mtakatifu Anjelo wa Acri, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1910 - Henri Dunant, mwanzilishi wa Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1901
- 1912 - James Sherman, Kaimu Rais wa Marekani
- 1968 - Conrad Michael Richter, mwandishi kutoka Marekani
- 1975 - Gustav Hertz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marsiano wa Siracusa, Serapioni wa Antiokia, Eutropia wa Aleksandria, Marselo wa Tanja, Klaudi, Lupersi na Viktori, Masimo wa Cumae, Jermano wa Capua, Jeradi wa Potenza, Anjelo wa Acri n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Archived 13 Januari 2013 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |