Zoë Akins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Zoë Akins.jpg
Zoë Akins

Zoë Akins (30 Oktoba 188629 Oktoba 1958) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1935, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Old Maid.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zoë Akins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.