Conrad Michael Richter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Conrad Michael Richter (13 Oktoba 189030 Oktoba 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika hadithi fupi na riwaya kuhusu historia ya Marekani. Mwaka wa 1951, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Town ("Mji").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Conrad Michael Richter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.