Nenda kwa yaliyomo

Mto Weru Weru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Weru Weru ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi, kwa kuwa ni tawimto la mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]